Malisa Gj: Naunga mkono "operesheni" ya kuwakamata mashoga inayoendelea nchini

Huyu nae,

Aendelee kukusanya hela za misaada tu apate ugal wake....

Unamtambuaje mtu ni Shoga?
Hii ya kupima watu muhimbili Kuna siku itatumika kama silaha kwa wapinzani wa serikal na mtaanza kulia lia kama nguchiro...👇
Mkuu naomba niunge na mimi Wi-Fi.
 
Anaogopa wakiwamaliza mashoga watahamia kwao wapinzani uchwara.
JINGA SANA HILI MALISA.

Hawa watu ni wapumbavu sana wanajifanya kutetea haki kumbe huwa wanatetea matumbo yao na maslahi yao tu.

Maslahi yao yakiguswa ndio wanajifanya kukosoa na kusimama kidete AT THE EXPENSE OF THE MASSES.

Anaruhusu UHARAMIA ufanyike dhidi ya wengine, lakini ukifanywa DHIDI YAKE basi haifai.

Yaani ni HATARI KUU.
 
Malisa ndio ana wasiwasi anaweza kupimwa kwa sababu ni mpinzani!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Naona ameanza kutoa tahadhari mapema kabla hajafikiwa na KIKOSI KAZI CHA KUPIMA MAPURU.

Halafu hichi kikosi kazi nasikia kina VIFAA SPESHO VYA KU-DETECT USHOGA!

Unashangaa umekaa unanyakuliwa tu shwaaaa UNAPIGWA MADOLE YA PURU.

SUBNALAAH!
 
huyu ana copy interview ya Lisu juzi
 
Tayari wamesha hama kwenye ufisadi wamehamia kwenye ushoga ,tumeshatolewa kwenye wizi wa mabilioni,tumeletwa huku
 
Kujua mtu anaingiliwa haja kubwa ni lazima kuangalia sphincter muscle,ikiwa intact maana yake yuko safe
 
Hawa watu dawa yao inaiva wataanza okotwa tu
 
Wakati mnaunga mkono kamatakamata hiyo hakikisheni mabalozi wa nchi zinazounga mkono ushoga waliopo nchini wasipate taarifa. Wakipata taarifa wataandika ripoti mbaya kuwa hakuna uhuru, demokrasia, kuna ukiukwaji wa haki za binadamu na usalama wa raia. Hiyo ripoti itaenda kwao na inaweza kutumika kama rungu la kutishia kutoa misaada ya maendeleo. Mkiambiwa acheni kuzungumzia jambo hili litaleta mtafaruku muwe mnaelewa
 
Tanzania haipigi kelele nyingi kazi unaendelea kimya kimya, "KUPIGA KELELE NI KUUTANGAZA USHENZI HUU"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…