Kaka habari mm ni mkadiliaji majenzi ( Quantity Surveyor ) nicheki watsap tuongee nikufanyie kaz yako pia licha ya kukadilia garama pia naweza kukujengea tukakubaliana na kukukabidhi nyumba ikiwa imeisha kabisa tayari kwa kuamia kiufupi kwa sasa nipo naendelea na mchakato wa kufungua kampun kabisa nicheki watsap 0753757303/0677400169/0658400165 pia nachora raman ukiitaji tupo team nzuri utapata kitu kizuri sana