Richmoto Kushmoto
JF-Expert Member
- Jan 18, 2021
- 549
- 560
We uko kama mimi,sipendagi maromance na mastory story ya kupotezeana muda.Katika hizo hakuna hakuna sci-fi na Romance sio?
Maana hizo ndo sipendagi kabisaa.
Labda hiyo 6 underground wanapasha kidogo ila ni moto sana ✊We uko kama mimi,sipendagi maromance na mastory story ya kupotezeana muda.
Ya mwaka huu6 underground Ryan Reynolds na ile team wako vizuri sana.
Black widow ni ya mwaka gani?
We are together broBinafsi nasubiri
army of the dead
na
A quiet place 2
Zinatoka mwisho wa mwezi huu.
Usisahahu black widow ingawa torrent ishaachiwaWe are together bro
Movie hatari sana hizoWe are together bro
Binafsi nasubiri
army of the dead
na
A quiet place 2
Zinatoka mwisho wa mwezi huu.
Kuna wanyama flani walivamia mji, ila hao wanyama hawaoni ila wanatumia masikio yao kufahamu kitu, sasa ili uishi inabidi usipige kelele yoyote, sasa hapo inaonyesha familia moja ikiwa inapambania uhai wao. part 1 inaisha mtoto mdogo amezaliwa na kama unavyojua mtoto mdogo huwezi kumzuia kulia/kupiga kelele sasa part 2 ndo inatoka nadhan trh 28A quiet place.... nipe summary yake maana nina harddrive ya movie halafu naipitaga tuu
Hili dude linatakiwa liwe na muendelezoLabda hiyo 6 underground wanapasha kidogo ila ni moto sana [emoji110]
Hatari na nusuHili dude linatakiwa liwe na muendelezo