Malkia Cute anafanya kazi gani?

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Nmeona mdada anahojiwa crown media Jana anaitwa MALKIA cute je ANAFANYA KAZI Gani hapa mjini Hadi kuwa celeb kiasi Cha kuhojiwa redioni?

Mbona mda wote anajigeuza tuone makalio.

Mbona media za bongo Zina wapa airtime watu wehu?

Watu wake wa karibu njooni mtuelezee!
 
Mbona hatuoni picha au video hapo??
Bila hivyo huo ni uzushi na kujaribu kumchafua mrembo wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…