Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Wabelgiji waliweka watawala katika vijiji ambao walitumikia Ufalme wa Mfalme Leopold. Baadhi ya wake wa watawala hawa walikua na nguvu kubwa hasa katika jumuia ya wanawake. Mafano ni Malkia Nenzima ambae ni mdogo wa Mbunza aliyewahi kuwa Chifu wa jadi kabla ya ujio wa Leopold.
Watoto wa watawala hawa walipelekwa shule na baadhi yao walosoma Ubelgiji. Malkia Nenzima ni mfano wa kiongozi wa kina mama.