muro mrefu
Member
- Sep 10, 2017
- 52
- 41
hallo guys, this is more than siriasy, poleni na majukumu. Najitokeza katika jukwaa hili nikileta ombi langu hususa nikwa mdada mmoja tu ambae tangu utoto wangu nnandoto ya kumoA mwenye sifa tajwa hapo chini.. Kwaufupi mm nikijana wakitanzania mwenye umri wa miaka 28 nnaelimu ya ngazi ya digrii nisietaka kuajiriwa ila nimeajiri. Ni mrefu kiasi maji ya kunde na mwembamba. Kabila ni mchaga. Msichana nnaemtafuta kwa miaka mingi awe na sifa zifuatazo... i. Awe mweupe. Ii. Mfupi au size ya kati, umri kati ya miaka 18 to 30, v. Mtafutaji. B. MchAmungu vii. Msomi au ht kama sio atlist anaeelewa dunia inaendaje.. ix. Anaejipamba lkn asizidi.
You are King I'm here and I'm always waiting for you.. where are you?? come so that we can start our new journey of life.. nb. Namba nilizoziruka nitazijaza PM.
Sent using Jamii Forums mobile app
You are King I'm here and I'm always waiting for you.. where are you?? come so that we can start our new journey of life.. nb. Namba nilizoziruka nitazijaza PM.
Sent using Jamii Forums mobile app