johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mwimbaji maarufu wa taarab Khadija Kopa amekabidhiwa taji ya malkia wa nguvu na kusema " Wakuja wametukuta mjini " na kuibua chereko na hoi hoi. Malkia wa nguvu wengine mi pamoja na Joyce Mhaville wa ITV na Mama Kam. Mgeni wa heshima ni waziri wa Afya Ummy Mwalimu ambaye ameomgozana na Ally Happi DC Kimondoni na Dr Mjema DC Ilala. Source Clouds tv!