johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
wamefanya upendeleo Malkia wa nguvu wangempa mandojo...maana jamaa anajua sana mziki sio kumpa tuzo khadija kopa.Mwimbaji maarufu wa taarab Khadija Kopa amekabidhiwa taji ya malkia wa nguvu na kusema " Wakuja wamewakuta mjini " na kuibua chereko na hoi hoi. Malkia wa nguvu wengine mi pamoja na Joyce Mhaville wa ITV na Mama Kam. Mgeni wa heshima ni waziri wa Afya Ummy Mwalimu ambaye ameomgozana na Ally Happi DC Kimondoni na Dr Mjema DC Ilala. Source Clouds tv!
Mkuu hii ni kwa malkia!wamefanya upendeleo Malkia wa nguvu wangempa mandojo...maana jamaa anajua sana mziki sio kumpa tuzo khadija kopa.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ametupia kokoto gizani na kuna watukufu zimewapata vyema sana ila wanajikausha kwakuwa zimewafuata bahati mbaya
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Amekuja mtu miaka ishirini tuu toka Chatto amekuwa rais nyie mna karne mjini sio hata makatibu kata
Wewe uliikuta stendi ya mabasi iko kisutu au? [emoji23]Kweli wametukuta!
Humu ndani wengi wanadhan wapo salama lakin HAPANATeh teh mbona imekunata sana? Anyway I'm not that simple! Nakuacha.
hahahaha jama wa mkoani hajajua manayake ..hahahaMkuu hii ni kwa malkia!
anawananga Wakolomije nini??Mwimbaji maarufu wa taarab Khadija Kopa amekabidhiwa taji ya malkia wa nguvu na kusema " Wakuja wamewakuta mjini " na kuibua chereko na hoi hoi. Malkia wa nguvu wengine mi pamoja na Joyce Mhaville wa ITV na Mama Kam. Mgeni wa heshima ni waziri wa Afya Ummy Mwalimu ambaye ameomgozana na Ally Happi DC Kimondoni na Dr Mjema DC Ilala. Source Clouds tv!
Aache unafiki yeye si ametokea zbar huyo kaja mjini kavua nikabu angebaki zenji ale urojoMwimbaji maarufu wa taarab Khadija Kopa amekabidhiwa taji ya malkia wa nguvu na kusema " Wakuja wametukuta mjini " na kuibua chereko na hoi hoi. Malkia wa nguvu wengine mi pamoja na Joyce Mhaville wa ITV na Mama Kam. Mgeni wa heshima ni waziri wa Afya Ummy Mwalimu ambaye ameomgozana na Ally Happi DC Kimondoni na Dr Mjema DC Ilala. Source Clouds tv!
I believe you're just being sarcastic!!Aiseee nimecheka sanaaaaaaawamefanya upendeleo Malkia wa nguvu wangempa mandojo...maana jamaa anajua sana mziki sio kumpa tuzo khadija kopa.