Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618

Ni mkuu wa nchi ya uingereza.

Zamani ufalme ulikuwa na nguvu ila kwa sasa umebaki kama heshima tu bila kuwa na maamuzi kwenye serikali.

Chama kikishinda uchaguzi malkia ndio anakipa idhini kitengeneze serikali.

nchi 16 zinamtambua kama kiongozi wao.

mkuu umesema vema, shughuli zake kiutendaji kila cku ni zipi? Ana ofice? Ofisi yake inafanya shughuli/kazi ipi/zipi?

Mkuu wa Jumuia ya madola

mkubwa! Yote mliyosema,wewe na wachangiaji wengine hapo juu nayajua. Nachotaka kujua kwa mfano,akiamka asubuhi anaenda wapi? Au kama anawasaidizi wake wanafanya kitu gani? Wapi? Hapohapo burkinham palace au anaenda/wanaenda wapi? Ana mshahara? Au posho?.... Mko wapi wajuzi wa mambo?

Queen= gadafi= mugabe

Hii link inakupeleka katika kazi anazofanya Malkia kila siku, unaweza itafsiri kwa google kama kiingereza kinakupa tabu: The Queen's working day

kilema wa akili
<br /
kilema wa akili

a.k.a Haya One? Teeh teh!