Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha twoneKwa mwaka huu mlipofika mtakuwa mmejitahidi
Mjipange kwenda kudefend tu msishuke daraja ligi ya kwenu huku caf hamna chenu
Tz mtakufa bao 3
Huku ngoma itaenda droo
Mamelodi wata waachia hawana interest na mechi ya leoAcha twone
Leo wanacheza na Mamelodi
TAWILEKwa mwaka huu mlipofika mtakuwa mmejitahidi
Mjipange kwenda kudefend tu msishuke daraja ligi ya kwenu huku caf hamna chenu
Tz mtakufa bao 3
Huku ngoma itaenda droo
Wameshapigwa 1 DK 30Bora wapigwe leo
Safi kabisaWameshapigwa 1 DK 30
Hadi sasa washapigwa kimoja. Weupe tu.Acha twone
Leo wanacheza na Mamelodi
Utakimbia kijana.. Sawaa
Wamemtunzia nguvu Yanga
Hii Yanga mnaichukulia poa sanaKwa nilivyowaona Malumo, Yanga anapigwa nje ndani. Wale watu wako aggressive sana. Ile spirit waliyonayo mamelodi ndo wanayo wale jamaa. Nafikiri hii inatokana na nature ya ligi yao kwasababu hata Orlando msimu uliopita walikua hivi hivi kwenye michuano hii.
Wamemtunzia nguvu YangaWanashuka daraja😅
View attachment 2612478
Hakuna kitu haoWamemtunzia nguvu Yanga