nilikuwa na kauzingizi lakini ghafla kame toweka.Anyway let me put it right king'asti,hayo makopa kopa ni kuonyesha Tunapendana-sio na wewe ila na huyo uliyemtaja.Nitawasiliana na Management ya JF kuona kama itawezekana kubadili ID yangu toka Kadoda11 mpaka Mr.kinga'sti.:redface: