Malticulation test msaada please!!!!!

nackyvona

Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
19
Reaction score
3
HABARI ZA LEO WANA JAMVI,
Ni mara yangu ya kwanza kuja katika jukwaa hili la elimu hapa JF kuomba msaada, mm nimemaliza kidato cha nne mwaka 1996, nikabahatika kusoma IIT mambo ya Computer nikapata Diploma pale, sijasoma kwa muda sasa, tatizo langu ni kwamba ninataka kujiunga na Chuo ili niweze kujiendeleza, wameniambia kutokana na cheti changu cha form four kutokuwa kizuri nifanye malticulation ili niweze kujiunga, JE KUNA YOYOTE ANAYEJUA MASWALI JINSI YANAVYOULIZWA KWENYE HIYO MITIHANI? MAANA NISIJE KUINGIA NIKAWA SIJUI KITU, NAOMBENI MSAADA WENU.
 
Hongera mkuu nadhani kwa sasa ni RPL Examination, mambo yamerahisishwa sana na TCU, hata std 7 sasa wanaruhusiwa kuingia University tembelea website ya TCU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…