Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Wasalaam wana jamvi!
Ni ukweli usio pingika au usio fichika kwa sasa hakuna maelewano mazuri kati ya Msanii Alikiba na Meneja wake mkuu Bi Seven Mosha.
Malumbano kati ya Alikiba na Seven Mosha yamedumu kwa kipindi cha mwaka sasa na moja ya mambo yanayo changia malumbano yao ni Life style ya Alikiba na namna ya utoaji wa nyimbo wa Alikiba!
Seven Mosha amekuwa akimlazimisha sana Alikiba kuendana na mapigo ya sasa kwenye sanaa hasa jinsi ya kuachia nyimbo hasa akipinga style ya Alikiba kutaka kukaa hata miezi minne au mitano bila kutoa wimbo jambo ambalo Seven hakubaliani nalo kwani anasema linamchelewesha na linampunguzia mashabiki kwani muziki wa sasa ni wa mchaka mchaka hauhitaji msanii ambaye ana toa wimbo mmoja kwa mwaka mzima na inakuwa ngumu kutengeneza hela kama wengine.
Hii style ya utoaji nyimbo ambayo alishauri Mosha ndio ilisababisha mgogoro mkubwa kati yake na Alikiba kwani Alikiba alikataa katakata na kumwambia asitake yeye atoe nyimbo kama wengine na hatokuja kukubali kufanya kama wasanii wengine na hapendi meneja anayetaka afanye kama wengine bali alimkuta na style yake lazima ajaribu kukubali!
Jambo hili limezua mgogoro mkubwa ambao hadi sasa unadumu ambao waweza kupelekea Alikiba kutangaza meneja mpya kuchukua nafasi ya Seven ambaye inaonekana hawana maelewano mazuri!
Jambo lingine ambalo limewaingiza kwenye mgogoro Alikiba na Meneja wake ni Life style ya Alikiba ambayo Seven Mosha anasema ina mbana sana tena sana kutengeneza hela zaidi ya sasa hasa kujifungia sana na kujiwekea sana mipaka kati yake na wadau bila kusahau mashabiki hadi kiasi kwamba wadau na mashabiki wanashindwa kumchukulia kama msanii wao na hawana ukaribu nao jambo ambalo yeye anasema linampunguzia fursa nyingi na angependa abadilike......
Alikiba ana pingana na mtazamo huu wa Mosha na aliona kama Mosha anataka kumpangia jinsi ya kuishi na akmwambia maisha siyo pesa na asimlazimishe kuwa karibu na kila mtu kwani yeye alichangua maisha yake na hatoweza kubadilika kwa shinikizo la mtu au kikundi chochote....
Mambo haya yameendelea kuchochea mgongano kati ya Kiba na Mosha na kupelekea kutoongozana tena au kuonekana kwenye baadhi ya sehemu pamoja kama zamani badala yake akionenakana na mtu mwingine ambaye inasemekana ni meneja wake mpya ambaye atamtangaza hivi karibuni Clouds Fm!
Namtakia kila la kheri King Kiba na meneja wake mpya!
Wasalaam Wana jamvi