Malumbano ya hoja: Wakazi wa Dar wawaomba Makonda na Mengi wawapeleke Lesotho kuishangilia Taifa Stars!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wakazi wa Dar kupitia vhama cha mashabiki wa soka wamemuomba Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Paul Makonda pamoja na mfanyabiashara maarufu mzee Mengi wawskodie basi litakalowasafirisha hadi Lesotho kuishangilia timu ya taifa.
Source ITV!
 
Watu wa dar mkisemwa mnalalamika msiposemwa mnalazimisha kulalamika kwanini msitoe akiba zenu mkodi gari mwende kuishangilia taifa stars, kuna siku mtawaomba hao wawasaidie kutunza familia zenu.
 
hao wanaoomba wana tabia za kike mwanamme mzima unaombaomba kwanza hakuna haja ya kuwasafirisha kwani kuna watanzania wengi wako Afrika kusini na nchi za jirani ambao wanaweza kutoa sapoti ya kutosha kwa timu yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…