Jamani nilibahatika kumwona mama Africa pale Muhimbi sasa mwenye DATA maana nilihuzunika sana kumwona maana alikuwa anaumwa na niliweza kuongea nae machache sasa sijui huko Tanzania kwani nilisafiri baada ya wiki mbili tokea nimwone mwezi wa pili kama sikosei tarehe za mwanzoni.
Nilikuwa nauguza mgonjwa my sister,tulipofiwa tu baada ya msiba sikuweza kurudi tena muhimbili.
Alikuwa anasumbuliwa na Kisukari kwenye mguu naomba kujua maendeleo yake wakuu.
ni yule alikuwa mwigizaji na rastafari pia au ni yupi haswa???? mhhhhh wengi hawamfahamu manake wkt anaigiza wengi tulikuwa vyuoni si rahisi sana kumfahamu au kumkumbuka si unajua tena ubize wa chuo na kula nondo.