Mama akanyagakanyaga kichanga kwenye beseni

Keykey

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2006
Posts
3,251
Reaction score
747
Hizi imani nyingine zitatufikisha pabaya!

 
hali ya watu kuchanganyikiwa iko rampant these days

if not so huyu aungane na Rama kule segerea maana atakuwa mchawi tu

otherwise polisi wakamate mizimu

its very sad lakini
 
He Kumbe dunia bado inaendelea kuzunguka???
Kila mzimu na vioja vyake haya hawa watoto wetu tuwafiche wapi???
Mungu ailaze pema roho ya kichanga kilichokatiliwa kwa amri ya mizimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…