Mama akipiga utrasound ni majibu gani anatakiwa aambiwe?

Mama akipiga utrasound ni majibu gani anatakiwa aambiwe?

kg za mtoto
due date
mtoto amekaaje kama ameshageuka au bado
jinsia hospital za serikali hawasemi
 
Wajuzi wa mambo naombeni majibu,

Umri wa mtoto, jinsia au?
Altrasound ya mama mjamzito. Kuna majibu yanayotokana na sababu ya :

1: Standard ya ultrasound ripoti kulingana na umri wa mimba.
-Umri
-Uzito
-Ulalo
-Uelekeo wa kichwa
-mapigo ya moyo
- matarajio ya tarehe ya kujifungua
-sehemu kondo lilipo
Nk.

2: wazo la uwepo wa tatizo toka kwa mwombaji wa ultrasound.
Kulingana na tatizo maalumu, vitu vingine huongezeka kwenye ripoti husika.

3: Incidental/ kile kilichokutwa kwa mtoto au mama ingawa haikuwa sababu ya msingi ya altrasound.
 
Back
Top Bottom