Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
huyu mdada sijui ana gundu gani, mtoto mzuri tu! lakin hapati mpenzi wa kuendana nae kabisa!!
Pengine uzuri wake ni nje tu, ndani hamna kitu [emoji4]huyu mdada sijui ana gundu gani, mtoto mzuri tu! lakin hapati mpenzi wa kuendana nae kabisa!!
hii pwointi kabisa!!! inawezekanaAtakuwa na tatizo moja ambalo mwanamke akiwa nalo ni mtihani,,,,""atakuwa ni MUCH KNOW sana (kujua kwingi)
Ukioa huyo ni sawa na kupanda mazao barabarani.huyu mdada sijui ana gundu gani, mtoto mzuri tu! lakin hapati mpenzi wa kuendana nae kabisa!!