Mama Ali Kiba , Ali Kiba wamkana Jokate live kwenye party, Jokate akosa la kusema

Kiba ni jipu lipo usoni kama tochi kwenye issue za mahusiano hakajielewa bado.
 
Ukizungumzia uchumba au mchumba kwa wazee wetu ni mtu ambae amechumbiwa official.

Kwa maana hiyo kwa mama yake Ali bibie Jokate sio mchumba wa Ali Kiba mpaka hapo mambo yatapokuwa official
 
Maskini dada huyu Kwann asitulie kwa umri uliobaki wa usichana atafute mtu wa maana atulie azae ata kajukuu ka taifa ka moja anagundu huyu msichana urembo una mwisho hivi hana wazazi wa kumshauri anatia aibu kujikomba kwa dume lenye watoto zaidi ya watatu kila mtoto na mama yake Nyet za huyu dada zinashida
Hata mmningekua mama k ninge mkataa tu yemwenyewe hajionei huruma [emoji23][emoji23] iyo video kamekaa kama yatima.
 
Tatizo ni pale uzinzi unafywa ni kitu cha fahari na kujivunia - sijui ni mfani gani kwa familia ni vizao vijavyo.
Uzinzi ulikuwepo tangu zama lakini lakini haukua kitu cha kutangaza na kufaharia
 
Aaaaah king anakula hapo sema wana mambo yanawawia vigumu kujiweka wazi

Kiheshima mzazi mwenye kujitambua hawezi ku halalisha kwa kusema mtu fulani ni mkwe wangu kisa anasikia ana date na mwanae mzazi anatamka fulani ni mkwe wangu iwapo alishatambulishwa,na mama kiba ndo maana kamkataa jokate japo anaskia skia ana mahusiano na mwanae na kasisitiza sijamfundisha kiba bila kunitambulisha mtu mi nimhesabu mkwe wangu hicho ndicho alichomaanisha pale aliposema sijamfundisha hivyo
 
Jokate ni mzuri sana nimemuona juzi the only thing ambacho labda hana labda walaji wanajua......labda mzigo wake sio mnato....ni mtifuo.May be maana kwa uzuri tuuu ni kiboko
 
Pengine kwa kina kidoti ndo walianza kumkataa jamaa..
 
Aly kiba nae kazidi mi ningekuwa Jokate ningeshamuachaa,,mtu anajifanya kama sio mpenzi wake lo,,,mtu anasafiri nae ,muda mwingi yupo nae halaf anakuwa anamkana lo
 
Jokate ni mzuri sana nimemuona juzi the only thing ambacho labda hana labda walaji wanajua......labda mzigo wake sio mnato....ni mtifuo.May be maana kwa uzuri tuuu ni kiboko
Mkuu,asikudanganye mtu.Mzigo wake mnato balaa...
 
Bora tu waniachie kidot wang
Bdo naeendela kusaka
Mawasliano yake
 
[emoji58][emoji58][emoji58][emoji58][emoji53][emoji53]inaumizaaa jaman kha
 
Pengine uzuri wake ni nje tu, ndani hamna kitu [emoji4]
Uzuri wa ndani ukoje??? Mr. Wenger, hili jambo uliloibua la kutofauyisha uzuri wa nje na wa ndani ni zito mno linahitaji ushahidi wa kiutafiti wa kisayansi.
 
Anaweza kumfanya mtu yeyote anaempenda kuwa mtu wa maana. Hapo ndipo watu tunapokosea mahesabu kusubiri mr/miss perfect.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…