Mama Ali Kiba , Ali Kiba wamkana Jokate live kwenye party, Jokate akosa la kusema

huyu mdada sijui ana gundu gani, mtoto mzuri tu! lakin hapati mpenzi wa kuendana nae kabisa!!
Ni mzuri..ana shule nzuri..swali ni je ana life planning skills za kutosha..je anao washauri wazuri au ndo wakina "i live my life"?
.pia hutu tutoto twa juzi vinapenda maisha ya kuchora upepo wayaonayo kwenye tv...hivyo hayo ndo maisha na aina ya watu aloridhia awe nao.

Kila mchuma janga hula na wa kwao!
 
Kwa video niliyoona ali kiba ameshaanza kubwia madawa, seven ana la kijibu

Jokate ni ho ilo linajulikana, dont be deceived na sura yake ya upole na namna anavyoongea
 
Ukishaifanya K yako kuwa mali ya umma ndiyo matokeo yake hayo, tena Kiba kamstahi sana. Kwa demu malaya kama huyo, mimi ningesema sijawahi hata kukutana na Jokate Mwegelo mamsikia tu!
 
Hilo gundu ni umalaya tu., wanawake wengi ambao hawakai na wanaume na wazuri sana ukichunguza vizuri huwa ni malaya waliojificha tu!
 
huyu mdada sijui ana gundu gani, mtoto mzuri tu! lakin hapati mpenzi wa kuendana nae kabisa!!

Tatizo mapepe kama binti aliebalehe anavyojidhaua mbele za watu. Mzuri lkn macho juu juu kama panzi.
 
Madem wa bongo hawajielewi.their minds are doll...ndio maana tunaona bora tukaoe Uganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…