Mama Ali Kiba , Ali Kiba wamkana Jokate live kwenye party, Jokate akosa la kusema

Joketi namuonaga ana kiherehere sana. Ali sio type yake kabisa. Maana wote wajuaji
 
Njoo kwangu jokate
Njoo mpenzi njooo nauita wingwo wange
 
Kwa uzuri wa Jokate yataka moyo kumkana, Kiba atakua na wasiwasi maana bibie anapaa sana kwenda USA na kule yupo yule jamaa tall wa basketball walioachana na unajua mtalaka ni kama bando la halichachi, huenda tall bado anapasha kimya kimya Kiba kashtuka bando limeungiwa hot spot.. Teh teh teh
 
Aly kiba nae kazidi mi ningekuwa Jokate ningeshamuachaa,,mtu anajifanya kama sio mpenzi wake lo,,,mtu anasafiri nae ,muda mwingi yupo nae halaf anakuwa anamkana lo
Labda ndivyo walivyokubaliana utajuaje? Huyo jojo naye mbona huwa anamkana Kiba?
 
Hawajamkataa!!! Kate sio mchumba wa Kiba bali ni hawala yake Kiba!!!

Na kwa conservative African lifestyle, mama hawezi kukiri kumtambua hawala wa mwanae hata kama anafahamu ni hawala yake!!! Na kwa maana hiyo, pia hawezi kukaa nae pamoja hadharani hata kama inawezekana wameshawahi kufanya hivyo wakiwa peke yao!!!!
 
Kiba anae anakaa mlangoni tu, ndani aingii nje hatoki. Kazi kuwazibia watu zari zao tu, kama hataki akae pembeni watu tunasubiria, haa!
 
Ila kuzaa zaa hovyo nje ya ndoa alimfundisha maana ana watoto watatu kila mtoto na mamaake. Hiyo je ni tabia nzuri kuliko kumtambua mpenzi wa mwanae?
 
Aly kiba nae kazidi mi ningekuwa Jokate ningeshamuachaa,,mtu anajifanya kama sio mpenzi wake lo,,,mtu anasafiri nae ,muda mwingi yupo nae halaf anakuwa anamkana lo
Labda walikubaliana kuwa itakuwa ni kimya kimya.
 
huyu mdada sijui ana gundu gani, mtoto mzuri tu! lakin hapati mpenzi wa kuendana nae kabisa!!
Anataka mastaa wenzake ndio malipo yake hayo. Moyo wa star memory card, labda kuna siku atampata wa peke yake.
 
Ila kuzaa zaa hovyo nje ya ndoa alimfundisha maana ana watoto watatu kila mtoto na mamaake. Hiyo je ni tabia nzuri kuliko kumtambua mpenzi wa mwanae?
Izo ishu za kiume zaidi,bro mama hawezi kukataa mjukuu lkn kukubali hawala ni matatizo ya akina mama wasiojielewa
 
Wacha dharau zimtafune Jokate! Nakumbuka miaka ile wakati tunasoma UDSM, nilipishana na Jokate, nikampa hi, alafu akanichunia... Niliumia sana... Wacha ale matunda ya dharau zake...
ha ha kumbe ulichuniwa ha ha me blikuwa namuangalia tu kiukweli nilivyo muona live duh sicho nilichokuwa nakiona kwenye picha siongei zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…