Pole sana kwa matatizo,wote wanandugu mlikosea ...mtu huambiwa hapohapo kwa sababu huyo ameolewa tu,ametokea familia tofauti na nyie huwezi jua malezi ya kwao yalikuwaje ,na kama kuna tofauti yyt ambayo yy kaiona anatakiwa kusema ili kuwe na usawa pande zote mbili
mm nina wifi yangu alianza tabia za kipumbavu hivohivo uzuri wa huyu alikuwa anawahi kusema kwa mumewe amekosewa,
my br alikuwa na msimamo kama kasema uongo anpewa ukweli wake hapohapo,hadi akajirekebisha,
ilivozoeleka wanawake washajenga bifu na wakwe,mawifi hata kabla hajaingia kwenye ndoa
sas kaka lakufanya mradi ndugu wote wanajua isipokuwa huyo kaka yako,pangeni siku kaeni kifamilia aambiwe cz leo kamfanyia ur mom kesho mwingine kumbuka siku hazigandi.