Mama aliyejifungua karibuni

Mama aliyejifungua karibuni

Mama aliyejifungua karibuni anatakiwa kula vitafunio gani na vyakula vya aina gani

Vyakula vyepesi vyepesi kama mtori,supu na wali laini bila ya kusahahau maji na matunda ili afya irudi vizuri....

Uji wa oats mzuri sana akinywa asubuhi pia unasaidia kuongeza maziwa ya mama..
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom