gracious86
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 437
- 54
Hellow wadau.! Hivi kwanini mwanamke (sijui kama inatokea kwa wote) anapojifungua, hupata shida sana anapojisaidia haja kubwa na wakati mwingine,i can say ni nyakati zote anapojisaidia,ile haja huambatana na damu!
Najiuliza maana hii hata mimi mwenyewe ninaiexperience maana ni mzazi,nina mtoto wa mwezi mmoja sasa! Yani huwa napata shida sana ninapoenda haja mpaka wakati mwingine najaribu kuzuia nikifkiria adha ninayoipata toilet!
Plz help me for this.Najiuliza hii ni kwangu tu na nina matatizo? Au huwatokea wanawake wote? Or it depends na maumbile ya mtu? I did a c- section! Riwa plz wherever u are.
Nahitaj msaada wako!