M Malaria 2 JF-Expert Member Joined Oct 17, 2023 Posts 9,722 Reaction score 15,117 Aug 26, 2026 #1 Ukweli kwamba anainyosha nchi. Kila goti litapigwa kuanzia Dar hadi Ruvuma, kupitia Lindi na njia ya kuelekea kwa sugu Kama alifanikiwa bunge la katiba hana hata kajeshi kamoja na hata hili atafanikiwa. Mama shujaa
Ukweli kwamba anainyosha nchi. Kila goti litapigwa kuanzia Dar hadi Ruvuma, kupitia Lindi na njia ya kuelekea kwa sugu Kama alifanikiwa bunge la katiba hana hata kajeshi kamoja na hata hili atafanikiwa. Mama shujaa
Kambaku JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 8,999 Reaction score 33,523 Aug 26, 2026 #2 Imepinda kwani? Kama imepinda nani aliipindisha?
A akili mwili mzima JF-Expert Member Joined Nov 13, 2025 Posts 2,662 Reaction score 5,558 Aug 26, 2026 #3 Hakika tunatawaliwa na akili ndogo mnoooi