Hodi wanajukwaa. Hongereni kwa hoja zenu nzuri mnazozitoa. Naombeni kujiunga
Kisheria na kwa kuzingatia haki ya kila kiumbe, na haswa binadamu, huyo mama anapaswa afungwe kifungo cha nje (parole) mapaka pale mtoto atakapoacha kunyonya, muda usiopungua miaka miwili. Kisha ndio arudishwe kumalizia kifungo chake.mama mwenye mimba anapohukumiwa kifungo na kisha akajifungulia jela , hapo inabidi atumikie kifungo yeye pamoja na mtoto wake mchanga ili aweze kumpa mahitaji yake muhimu.. je hapa si sawa na kumfunga mtoto ambaye hajafanya kosa? kama kuna mdau ana ufumbuzi au anajua sheria juu la hili tafadhali nisaidieni maana nimekuwa najiuliza sana juu ya hil