Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,147
- 14,699
Mtoto kampigia simu mama ofisini kwake kwenye simu ya ofisi, baada ya mama kusahau simu yake nyumbani.
Mtoto: Mama uwahi kurudi nyumban leo mapema
Mama: Siwezi kuwahi kurudi mwanangu nina baiskeli leo nipo taratibu, kwani kuna nini?
Mtoto: baba anafungua Whatsapp yako huku...
Matokeo yake yakawa hivi
[emoji116] [emoji116] [emoji116]