Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Kuna watu waliingia madarakani na 4R, kama mlikuwa hamjui, dhumuni kubwa la 4R lilikuwa ni kukosoa na kuonesha utawala wa JPM’ulikuwa mbovu; katika maisha , huwezi kuonekana upo bora kwa kuonesha madhaifu ya aliyekutangulia huku wewe ukiwa supporter wake ,hutoboi
4R ni za mchongo na hazipaswi kutumiwa na msomi.
Samia alisema tumeweka 4R ili muishi vema, Ila mkiota mkia sheria ni zile zile ; kwanini anadhan kuwa ni busara zake watu kuwa huru, hivo akitaka watu wasiwe huru basi hawatokuwa; ? kwanini anajipa mamlaka hayo ya uungu ? Who is she by the way , ?yeye ni Goddes ?
Tulikuwa na Ngosha wa Tanzania, yupo wapi sasa hivi !
Viongozi wa Africa jifunzeni kiasi, moja ya kiumbe dhaifu kabisa duniani ni binadamu, uwe rais uwe nani…..
Acheni ku misuse polisi ambao wanaonjaa sana , hardly polisi kuwa na take home ya laki 7 , mnawa misuse na kazi yao sio kutetea maslahi ya CCM
Ukijaribu kuzuia uhuru wa binaadam utapata shida sana na unapotaka kwenda utajikuta ndipo ulipo.
Polisi wanatesa watu kwa faida ya CCM , mbaya sana. Kuvamia nyumba za watu for no good reason
Bado mtaendelea kusema Anaupiga Mwingi? Bado mtaendelea kusema ametenda? Bado mtasema aitwe Mama wa Taifa?
Naomba kuwakumbusha !
Mama yenu alikuta lita ya petrol ni 1700 , ndani ya miezi 9 petrol ikafika 3300.
Mama yenu alikuta dola ni 2200 now dola ni 2800
Mama yenu alikuta nchi haina shida ya dola, now ukipata dola 100 tu , wewe unayo connection
Mama yenu alikuta kilo ya sukari ni 1800 , now sukari ni 4000
Mama yenu alikuta miamala ya simu haina tozo ; Mama yenu akawaekea tozo
Mama yenu alikuta hatuna shida ya umeme, umeme kwa sasa ukiwawakia wiki bila kukatika, ni maajabu
Mama yenu alikutaa kugomboa gari bandarini kama IST ni 4.8M , now kugomboa IST ya 2009 ni 8M
Kuna mtu alikuwa anaijua kizimkazi au chato, ? tayari tunalo gofu la Chato, bado la kizimkazi nalo ni future gofu
Bado anaupiga ?Ingieni kwenye nafasi za uongozi, nadhan familia nzima ya samia imehamia kwenye nyadhifa tofauti , chunguzeni kwa jicho la tatu
KATIBA YA WARIOBA NI LAZIMA ILI NCHI IWE KWENYE NIDHAM; OTHERWISE IPO SIKU MTALETEWA RAIS DOTTO MAGARI mtu aliyekuwa mbwia unga, kibaka na mporaji, à standard 4 failure.