Mama anaupiga mwingi na kufungua nchi

Mama anaupiga mwingi na kufungua nchi

Taifa haliwezi kupata maendeleo uku viongozi ni myopic, uliwahi kuona wapi kilaza ana fanya jambo la kuleta mageuzi ?

"Ujinga wa Watanzania ni sawa na mzigo wa konokono"
 
viongozi ni myopic,
Myopic - ni mtu mwenye ubongo finyu, asiyekuwa na vision pamoja na mission.
Anafanya mambo bila ya Tafiti bali kwa kufwata miemko na kujikomba kwa mataifa yaliyoendelea.
Hakika hawa ndiyo viongozi taka taka wa Taifa hili.
 
Hao Watalii sijui kama watarudi tena.
 
Kufungua nchi siyo kazi kidogo kama viongozi waliopo chini yako hawapati Ile sense kwamba how serious are you in your business. Wageni wanafika Tanzania for the first time wanakutana na disappointment. What a shame.

Wageni wanafika Tanzania for the first time wanakutana na disappointment. What a shame.[emoji848][emoji2827]
 
Wageni wanafika Tanzania for the first time wanakutana na disappointment. What a shame.[emoji848][emoji2827]
Wanabakia kuhangaika na Royal tour

Huku kwengine zerooo

Ova
 
Fungueni nchi mtaani vyakula vishuke bei,wanachi washibe wapate nguvu ya kupokea watalii.....sidhani kama kuna nchi yenye maendeleo yenye njaa..
 
Kwahiyo tulitaka Samia hapa awepo awe anagonga mhuri au? To be honest, hata malaika akishushwa nchi hiyo haiwezi kutoka. Ina kundi kubwa la watu wanajiita wasomi lakini kazi wazifanyazo ni bora darasa la pili B. Hawataki kufikiria hata kwa urefu wa mb""o zao. Majority ya hao utawakuta uhamiaji, polisi, TRA, halmashauri.
Mfanyakazi wa TRA unapata wapi akili za kumharibia biashara yake mfanyabiashara? Uhamiaji kuna nini cha ziada kuwaweka watu saa nzima just uwagongee mhuri wakatumie huko?? Uhamiaji wamefanya passport kitu cha thamani kuliko almasi.

Nchi inachosha sana kwa hakika. Samia inabidi awe mkali kidogo, tukio kama hili unaomba taarifa ukiona haina mashiko, naanza na mkuu wao hadi wote waliokuwa zamu hapo airport.
 
Back
Top Bottom