Kwahiyo tulitaka Samia hapa awepo awe anagonga mhuri au? To be honest, hata malaika akishushwa nchi hiyo haiwezi kutoka. Ina kundi kubwa la watu wanajiita wasomi lakini kazi wazifanyazo ni bora darasa la pili B. Hawataki kufikiria hata kwa urefu wa mb""o zao. Majority ya hao utawakuta uhamiaji, polisi, TRA, halmashauri.
Mfanyakazi wa TRA unapata wapi akili za kumharibia biashara yake mfanyabiashara? Uhamiaji kuna nini cha ziada kuwaweka watu saa nzima just uwagongee mhuri wakatumie huko?? Uhamiaji wamefanya passport kitu cha thamani kuliko almasi.
Nchi inachosha sana kwa hakika. Samia inabidi awe mkali kidogo, tukio kama hili unaomba taarifa ukiona haina mashiko, naanza na mkuu wao hadi wote waliokuwa zamu hapo airport.