Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
Kutoka Mkoa wa kilimanjaro (kamanda wa polisi (Simon Maigwa) amethibitisha kutokea kwa tukio hilo jambo ambalo limewashangaza watu wengi.
Mama aliyekuw akitoka na mwanae ameaga dunia na kumuacha mtoto wake baada ya kupewa dhamana alipata presha ndipo aliopoteza maisha.
kamanda (Maigwa amekiri kutokea kwa tukio hilo nakusema Mama ndo alikuwa na kosa maana ndiye aliyekuwa akimlazimisha mwanae.
mwanae yuko chini ya umri wa miaka 18