Mama atembea na Mwanae wa kumzaa Moshi

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
Kutoka Mkoa wa kilimanjaro (kamanda wa polisi (Simon Maigwa) amethibitisha kutokea kwa tukio hilo jambo ambalo limewashangaza watu wengi.



Mama aliyekuw akitoka na mwanae ameaga dunia na kumuacha mtoto wake baada ya kupewa dhamana alipata presha ndipo aliopoteza maisha.

kamanda (Maigwa amekiri kutokea kwa tukio hilo nakusema Mama ndo alikuwa na kosa maana ndiye aliyekuwa akimlazimisha mwanae.

mwanae yuko chini ya umri wa miaka 18
 
huu utaratibu wa kutupa habari nusu halafu mnatuambia kwa habari zaidi fuatilia chanel fulani. mmeutoa wapi? nani anahuo muda kwanza. hebu tulia andik habari kikamilifu ndio utuletee hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…