Mama atembea na mwanaye wa kumzaa!

Kwani nami natembea na mama yangu mkuu? Unadhani huyu kijana kwa jinsi alivyonogewa kumgegeda mama atakujua kuoa kweli? Je, unadhani wivu wa mama utamruhusu aoe?
Nd maana nmesema huna akili.

Kwaio kama amenogewa nd umetoa ushauri wako kwamba aendeelee kufanya uo upuuzi, yani kabisa nd ushauri wako huo ?
 
For the time being there is no man in my life ... My son is there to make me happy...[emoji848][emoji3064] !!! Aisee kanogewa na ya mwanae[emoji1544][emoji188]
 
Duuu! Aseee! HATARI sana. Haya ni madhara ya mwanamke kupata mtoto akiwa na umri mdogo. Mtoto kakuwa na anakuwa sawa na yeye. Fikiria mama kama alipata mtoto akiwa na umri wa miaka 13, akifika umri wa miaka 31 mtoto anakuwa na miaka 18, hivyo anaona kama kijana mwenzake tu. Mara kadhaa nimeona Binti anakuonyesha mtoto wake yaani unaweza kukataa, mtoto ni mkubwa utadhani ni kaka yake.
 
Kweli kabisa mkuu. Mara nyingi huwa inakuwa hivyo, hasa kwa ukanda wa Pwani.
 
Atakua single mother huyu, no doubt.
 
Kweli kabisa mkuu. Tumetoka kwenye masuala ya ushoga, tumeanza kutembea na mama zetu. Nchi hii imelaaniwa sio bure.
Kwani wakuu ni mbongo huyo? Mbona mm nahisi ni m Nigeria au m Ghana. Halafu kina possibility pia alikua anatafuta kick
 
ulimwengu imejaa uchafu,
binadamu hawana utu,
nasizi na kush nipo tafu,
hii thread sichangii katu,

....... kush master.....
🚬🚬πŸ’ͺ🏽πŸ’ͺ🏽
 
Kwani wakuu ni mbongo huyo? Mbona mm nahisi ni m Nigeria au m Ghana. Halafu kina possibility pia alikua anatafuta kick
Huyo sio mbongo lakini kuna stori kuhusu mama wa kibongo anayetembea na mwanaye. Duniani kuna vituko wewe acha tu!
 
Embu muangalie usoni macho yake na anachokisema havina uwiano, hii ni attention tuπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…