Mama Big ndani ya mjengo

Mama Big ndani ya mjengo

Mama Big

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
488
Reaction score
7
Aslm waungwana....Bwana Yesu asifiwe....Mamboz

Habari za masiku tele....wapinzani hongereni kwa ushindi Igunga.

Naomba kukaribia tena baada ya muda mrefu natumai wana Jf mpo wote na Mola anawajaalia afya njema.
 
Hahaha!!! Kipenzi umerudi
 
Aslm waungwana....Bwana Yesu asifiwe....Mamboz

Habari za masiku tele....wapinzani hongereni kwa ushindi Igunga.

Naomba kukaribia tena baada ya muda mrefu natumai wana Jf mpo wote na Mola anawajaalia afya njema.

Jamaa alikuficha hivi hivi...wlcm bck..
 
Aslm waungwana....Bwana Yesu asifiwe....Mamboz

Habari za masiku tele....wapinzani hongereni kwa ushindi Igunga.

Naomba kukaribia tena baada ya muda mrefu natumai wana Jf mpo wote na Mola anawajaalia afya njema.

Karibu sana, jisikie upo sehemu murua kabisa
 
Nilikwenda shule RR kwa ajili ya kuimprove mambo yetu yaleeeeee.....
 
Aslm waungwana....Bwana Yesu asifiwe....Mamboz

Habari za masiku tele....wapinzani hongereni kwa ushindi Igunga.

Naomba kukaribia tena baada ya muda mrefu natumai wana Jf mpo wote na Mola anawajaalia afya njema.
Karibu sana mhibu uje na mchango wako!!!!!!!!!!
 
Karibu, Sana Big Mama. Usisahau kuchangia jf mkono mtupu haurambwi.
 
Back
Top Bottom