Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Mwenyekiti Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) akiwa na Ndg. Issa Haji ussi Gavu Katibu wa NEC- Oganaizesheni na mlezi wa Jumuiya za CCM pamoja na Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi wameweka shada la Maua katika kabuli la Hayati Askofu Fransica Mwita Gachuma mke wa Ndg. Christopher Mwita Gachuma Mjumbe Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi.
Hayati Fransisca Gachuma alifariki tarehe 23.03.2024 na alizikwa tarehe 30.03.2024 Bukenye Komaswa Tarime (Kwa Gachuma). Katika uhai wake alikuwa Askofu wa Kanisa la New Life Gospel-Jimbo la Mara Kaskazini ambapo alisimikwa daraja la Askofu tarehe 1.10.2023.
📍TARIME-MARA
🗓️ 30/03/2024
#UWTImara
#JeshiLaMamaSamia
#KaziIendelee