BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Nani kama mama kupitia kipindi cha shajara mama mzazi wa msanii wa muziki wa Hip hop ChidiBenz anaamini kubaniwa kimuziki ndio kuna mfanya Chidi kuonekana ana changomoto imani yake ni kuwa ChidiBenz hana tatizo lolote zaidi ya kubaniwa kimuziki na kudhulumiwa pesa zake.
Mtangazaji babie alikuwa akitumia muda mwingi kumuaminisha mama ChidiBenz kuwa mtoto wake ana Changomoto zaidi ya hizo na kutoa mapendekezo kuwa Chidi anapaswa kupelekwa Rehab center.
Fundisho
That's how mom is supposed to be pale wengine wanapokuona una wenge lakini Mama anakuwa upande wako na kukutea kwa gharama yoyote big up Mama ChidiBenz hapa bongo wanafiki wengi walitamani hata wewe umuongelee mabaya mwanao.