Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 21,967 Reaction score 32,074 Feb 26, 2022 #1 MAMA DAISY, MAMA MUNI (BI. ZAINAB SYKES) NA MAMA MARIA NYERERE 1950s Nimetanguliza picha katika bandiko kabla ya hili mama zetu wanapiga kura mwaka wa 1962. Yapi yalikuwa maisha ya wake wa viongozi wa TANU kipindi kile cha kupigania uhuru?
MAMA DAISY, MAMA MUNI (BI. ZAINAB SYKES) NA MAMA MARIA NYERERE 1950s Nimetanguliza picha katika bandiko kabla ya hili mama zetu wanapiga kura mwaka wa 1962. Yapi yalikuwa maisha ya wake wa viongozi wa TANU kipindi kile cha kupigania uhuru?
Teknocrat JF-Expert Member Joined Oct 20, 2018 Posts 4,967 Reaction score 11,056 Feb 26, 2022 #2 Keeping up with the Sykes. Lakini hawa wanatakiwa kujulikana kwa mchango wao kuuondoa ukoloni Tanzania. Tulioshwa ubongo sana kwenye somo la siasa.
Keeping up with the Sykes. Lakini hawa wanatakiwa kujulikana kwa mchango wao kuuondoa ukoloni Tanzania. Tulioshwa ubongo sana kwenye somo la siasa.
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 10,962 Reaction score 7,830 Feb 26, 2022 #3 Safiii
A Abdul Mganyizi JF-Expert Member Joined Oct 28, 2019 Posts 1,042 Reaction score 2,005 Feb 27, 2022 #4 Hakuna anaewakumbuka mbali na walioyafanya ispokuwa mama Maria.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Feb 27, 2022 #5 Ahsante kwa historia...