Mama Dangote confirms her breakup with Uncle Shamte

Esma anazungumziaje Mama yake kumwangwa,.

Mashabiki Wa Dangote njooni na Majibu
 
Mama haonyeshi hela tofauti na matarajio.
 
Mama wa mwenzio ni mama ako pia...siwezi kufurahia kuachwa na mumewe ukizingatia mwanamke asiye na mume ana zalilika sana kwenye jamaii sawa na dume la mbwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umbeya tu na wewe!
 
Tatizo uyo uncle shamte alikuwa anataka ndogo kwa bimkubwa wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…