Mama Dangote confirms her breakup with Uncle Shamte

S. Tangia anauza mitumba ya madem
Zamani alikuwa Mario,alikuwaga na mwana mmja namjua michongo yao ilikuwa hiyo hiyo
Ya kudeal na wamama watereze, sasa kwa connection hii aliyoipata unafikiri ataliachia tawi
Kweli

Ova
Hana wasi naona yeye kazi yake kula miogo mibichi, karanga, nazi zile mbata na Alkasus, ili a-maintain pumzi na ubunifu kitandani.
 
Anko shamte hawezi kukubali kuachika pale....sii kazi rahisi.
 
Anko shamte hawezi kukubali kuachika pale....sii kazi rahisi.
Kuna siku Mama Dangote kapost gari Instagram halafu yeye akaenda kucoment "gari yetu ".
Dah hata kama maisha magumu si kwa kujichoresha
 
Kuna siku Mama Dangote kapost gari Instagram halafu yeye akaenda kucoment "gari yetu ".
Dah hata kama maisha magumu si kwa kujichoresha
Watu wa insta wanamuita mfugo πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa mtu analelewa hivo afanyeje, inabidi asifie sifie, ajikombe ili aendelee kuolewa
 
Niunganisheni kwa huyo bibi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…