Mama Diamond adai ndoa imemrudisha ujanani

mo11 kwanini wanafanyaga mambo ya ajabu wengine halafu aibu unaonaga wewe nashangaaga hapo ujue??
hayo mambo ya ajabu wafanye tu ila nisijue
 
Write your reply...
lijamaa linajua kutumia fursa
sema bi-mkubwa anazingua, yaani mi ni star anakwenda kuliwa na kajamaa ambako hatujapishana nako umri kiviiiile..
 
Acheni mama aliwe tu, angekua na hizo aibu hata huyu mwanae maarufu asingekuwepo. Acha mama nae aendeleze kipaji chake,,, ujuzi hauzeeki jamani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…