Mama Diamond adai ndoa imemrudisha ujanani

Hatari sana..ila mama mabeto yupo vizuri...ana mvuto..hata mie nikimkuta anga zangu napiga
Sema, uncle shamte nae walewale kumbe nasikia alikuwa anapiga mama yake hamisa mobeto, huyu hana tofauti na mshkaji wangu wa ujanani tupo form four akawa anapiga mama yake jamaa tulikuwa tunasoma nae
 
maneno kidoogo.........wazalamo hao......maneno kidoogo.........wazalamo hao.....maneno kidoogo.........wazalamo hao.....
 
Sema, uncle shamte nae walewale kumbe nasikia alikuwa anapiga mama yake hamisa mobeto, huyu hana tofauti na mshkaji wangu wa ujanani tupo form four akawa anapiga mama yake jamaa tulikuwa tunasoma nae
Kiukweli hiyo njemba inafaidi mapenzi motomoto ya kiutu uzima, hakuna utoto, mwanaume unalelewa na kuangaliwa vizuri kabisa, nawashauri vijana kufuata mkumbo...😎😎😎
 
Kijana amepitwa miaka 20 plus...Shamte jasiri
 
Kwahali kama hii vijana hawataacha kutoka na mama zao kama wao wenyewe wanajisifia hivo mitandaoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…