Inawezekana bi mkubwa anawazimikia wahuni, tena huku wakisikiliza mistari ya mtoto wao wawili tu chumbani "nikasafishe mtaro"
Ukiwa na pesa kila kitu kinabadilika pesa ndio kila kituMama wa msanii diamond platnumz maarufu Kama mama dangote amesema ndoa inamfanya ajisikie kijana na kufurahia maisha
View attachment 956252
Katika malovee miaka ni nambari tu,ona Mzee Mengi chuma alichochukuaKijana amepitwa miaka 20 plus...Shamte jasiri
Nayeye anae wake ila tu "hapendi show off"Na mama ake kiba100 mbona hasikiki
56Ana miaka mingapi kwani?
Duuuuuuh 56 kijana labda JAPAN ila kwa TZ ni Bibi.
Umesikia mkuu !! Unauthibitisho or ?Sema, uncle shamte nae walewale kumbe nasikia alikuwa anapiga mama yake hamisa mobeto, huyu hana tofauti na mshkaji wangu wa ujanani tupo form four akawa anapiga mama yake jamaa tulikuwa tunasoma nae
KIpindi cha mwezi wa ramadhani utakuta naye anafunga na kujitanda ushungi.Mama wa msanii diamond platnumz maarufu Kama mama dangote amesema ndoa inamfanya ajisikie kijana na kufurahia maisha
View attachment 956252
Mwanaume sawa ila huyo ameshafika menopauseKatika malovee miaka ni nambari tu,ona Mzee Mengi chuma alichochukua
Mapenzi hayana umri!Kijana amepitwa miaka 20 plus...Shamte jasiri
wacha ajivinjari kakaMama wa msanii diamond platnumz maarufu Kama mama dangote amesema ndoa inamfanya ajisikie kijana na kufurahia maisha
View attachment 956252
Mzee abdul anajutia sasa
Mmh.....kweli ni 56?
Huamini?...Mmh.....kweli ni 56?
Jamaa keshabeba jumla mzigo huo?Mama wa msanii diamond platnumz maarufu Kama mama dangote amesema ndoa inamfanya ajisikie kijana na kufurahia maisha
View attachment 956252
Duh Jamaa kazoea kula kei zenyemakunyanzi huyu si bureHuyo ni expert...tena tumpe cheo cha KEY EXPERT kwenye hiyo sector mbobezi haswaa