Mama Diamond asema nyumba ya Madale ni yake

Anachukua maneno ya utotoni kuwa fact?
Ingekuwa hivyo tungekuwq tumewanunulia treni wazazi!
Duu, mama ni mama tu!
 
Ni sauwa, diamond ni mtoto wake
 
Njaaa Tu hizo, poor economics!! Yeye alifanya nini kumtengenezea maisha mtoto wake? Yaani mzazi unakaa unasubiria mtoto aje akutoe kimafanikio? Poor economics!!
 
wa mama wa kiswahili! bahati nzuri Zari mzungu, angekuwa yule Miss na mama yake ?
 
Huyu mama simuelewagi ni mama au ni binti sijui aliruka stage. Halafu ana utitiri wa majina mara Sanura, Sandra mara Kendra Michael full vituko. Anapenda mitandao kutwa yupo Insta. Leo baby shower ya Zari lakini yupo kimya utafikiri anayezaliwa siyo mjukuu wake.
 
Njaaa Tu hizo, poor economics!! Yeye alifanya nini kumtengenezea maisha mtoto wake? Yaani mzazi unakaa unasubiria mtoto aje akutoe kimafanikio? Poor economics!!
He unaishi wapi huijui Historia ya Diamond. tatizo sina muda wa kukuelezea!
 
Unaijua kazi yake zamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…