Mama Diamond; Wanaotukana mama za wenzao nawaona ni wapuuzi, Asema ameolewa na atazaa muda si mrefu

Mama Diamond; Wanaotukana mama za wenzao nawaona ni wapuuzi, Asema ameolewa na atazaa muda si mrefu

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656


=> Caption za Istagram naandika mwenyewe na naona naandika maneno ya kawaida wala simpigi mtu vijembe.

=> Watu wengi naona wanantukana Zari na yeye hapa hana ndugu kwahiyo nikiona hivyo lazima nimtetee maana yeye kaja hapa kwa kunifwata mimi na mwanangu ndio kamleta.

=> Idadi ya wajukuu zangu hainihusu ila nina wajukuu wengi, nyie watanzania mnajua nina wajukuu wangapi.

=> Ushauri wangu kwa watu mitandaoni waache kutukana. Mwanangu hawezi kumtukana mama wa mtu kwahiyo wanaonitukana mimi nawaona wapuuzi.
=> Mimi nimeolewa na mwanaume huyohuyo ambao watu walikuwa wanasema ni mdogo maana angekuwa mdogo asingeoa.

=> Watu watarajirie mdogo wake Diamond muda wowote.
 
57ceb0b82d51efa1df289e6b5ddedaaa.jpg
 
Back
Top Bottom