MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
=> Caption za Istagram naandika mwenyewe na naona naandika maneno ya kawaida wala simpigi mtu vijembe.
=> Watu wengi naona wanantukana Zari na yeye hapa hana ndugu kwahiyo nikiona hivyo lazima nimtetee maana yeye kaja hapa kwa kunifwata mimi na mwanangu ndio kamleta.
=> Idadi ya wajukuu zangu hainihusu ila nina wajukuu wengi, nyie watanzania mnajua nina wajukuu wangapi.
=> Ushauri wangu kwa watu mitandaoni waache kutukana. Mwanangu hawezi kumtukana mama wa mtu kwahiyo wanaonitukana mimi nawaona wapuuzi.
=> Mimi nimeolewa na mwanaume huyohuyo ambao watu walikuwa wanasema ni mdogo maana angekuwa mdogo asingeoa.
=> Watu watarajirie mdogo wake Diamond muda wowote.