Mama Fei Toto: Fei aliwahi kula ugali na sukari Yanga

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Mama wa kiungo wa Yanga SC Feisali Salum amezidi kutema nyongo kuhusu maisha ya kiungo huyo akiwa kwenye klabu hiyo ya Jangwani/Twiga.

πŸ‘‰ Kumbe Feitoto amewahi kula Ugali na sukari akiwa Yanga SC

πŸ‘‰ Kumbe Feitoto alfika hatua anakwenda kazini (mazoezini) na bodaboda.

πŸ‘‰ Kumbe Feitoto akiwa Yanga alikuwa bado anaomba hela ya kula home! Huo mshahara alikuwa anapata kweli?

Angalia video zote 2 umsikie Bi-maza akielezea mambo machache kati ya mengi.

Leo ndiyo marejeo ya shauri la Feisali Vs Yanga SC pale Karume zilipo ofisi za TFF majira ya saa 4 asubuhi hii.

NB: Wale waliongea na wapenzi na mashabiki wa Yanga pale Mbagala Zakhiem wakatoa ahadi ya marejeo ya klabuni waliongea na nani?
 
Mama wa kiungo wa Yanga SC Feisali Salum amezidi kutema nyongo kuhusu maisha ya kiungo huyo akiwa kwenye klabu hiyo ya Jangwani/Twiga.
Tatizo umeongea kishabiki sana we kolo. Wa kulipwa 4M, kula ugali na sukari ni hamu zake tu zimempeleka huko.

Unajua walimu wanalipwa shilingi ngapi na hawali ugali kwa sukari?

KUomba hela home labda ubahili wake tu. Maana huwezi kuwa unalipwa 4M na mzazi unajua kuwa mwanao analipwa 4M ukakaa kimya. Huyo mzazi naye inawezekana ana changamoto ywenye kulea.

Wa kulipwa 4M kupanda bodaboda ni kujitakia.
 
,
Kwa mchango wake anastahili kulipwa m4? Wakati unajibu kumbuka kuwa viongozi wa YANGA sio YANGA ili kujiepusha na ibada.
 
Fanya wepesi video ziende hewani [emoji1545]
 
,

Kwa mchango wake anastahili kulipwa m4? Wakati unajibu kumbuka kuwa viongozi wa YANGA sio YANGA ili kujiepusha na ibada.
Hivi unaelewa maana ya mkataba? Mkataba maana yake mnalipana mlichokubaliana na si unachodhani unastahili. Kama alikuwa anataka mshahara uongezeke, angefuta tu taratibu husika na eidha wangekubaliana mshahara mpya au wangeshindwana, hatimaye kila mtu achukue hamsini zake.
 
Hivi unaelewa maana ya mkataba? Mkata mnalipana mlichokubaliana na si unachodhani unastahili...
Kwa mchango wake anastahili kulipwa m4?

Nakukumbusha kuna tofauti ya kiongozi wa Yanga na Yanga, hivyo Epuka ibada.

Unless ww ndo yule wa asubiri, avumilie na ukihojiwa majibu ni "Hana shida ni kijana wetu huyu"
 
Si tunachojua ni kuwa Feisal yupo Avic Town na mechi ijayo atadondoka kwenye pitch
 
Kipindi cha Mwinyi Zahera Yanga walikuwa jalalani wanakula Ugali na picha ya samaki,chai na picha ya bwana sukari.

Unaambiwa mnapimiwa sukari na Kocha Ili isiishe wakina Tshishimbi wakakosa,mboga walikuwa wanachangia bakuli wawili wawili, Fei na Morison, Mauya na mapinduzi Balama.

Maisha aliyopitia fei ni magumu sana kuna muda nilikuwa nampa nauli aende mazoezini na Boda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…