Mama hamtaki Mpenzi wangu

Pole sana
 
Huyo jamaa anamoyo mno

Ningekua mimi ningekuacha ukalombwe na mama yako. . anyway type mrejesho mlimalizana vipi
 
Mama yako anasemaje kuwa huyo jamaa hana hadhi ya kuwa na wewe nawakati mama yako naye ni masikini? Baba anasemaje?
 
Muulize kwanza mume wa mama yake anahela? Si na wao ni masikini tu wa kunuka?
 
Kwa ufupi Mama yako ni mswahili na mshirikina
 
KUA MAKINI, MAMA ANAONEKANA KUMJUA SANA MPENZI WAKO HUENDA MPENZI WAKO KESHAMLA NA MAMA YAKO NDO MAANA MAMA ANAPINGA. Halafu mtu anaevuta ganja hadharan had mama yako anajua, n wa kaz gan huyo? Au unaona bang n kitu cha kawaida? Kama n cha kawaida nenda kamwambie mtu kua wewe (yeye) ni mvuta bangi halafu uje utuambie huyo mtu alikujibu kwa makofi mangapi.

Kaachika??
Pombe??
Bangi??
J I C H A N G A N Y E.
 
Na hivyo vitu sio kivile, pombe ameacha tangu nimwambie mi pia staki hivyo vitu akishindwa kuacha tutakua tu casual amenielewa anayafanyia kazi hayo

ukimuuliza anasema umemtukana
Uyo ameacha kwa mda ili uingie kwenye mfumo,ukishaingia ndio utamkumbuka mama vzr.
 
Punguza kumwambia kila kitu maza,, hapo kwenye hadhi anajiona kazaa beyonce sio😂😂ila wazazi wengine wanazingua
Kapeace napenda the way unachangia hoja hapa
Dogo hatakiwi kumpa sikio na ulimi mama yake hata kidogo yaani..

Iwe mama yuko sawa au hayuko sawa haitakiwi kumsikiliza kwa lolote yaani..

Binti ataexperience maisha yake alone haitakiwi kuwa influenced by anybody..
Kapeace for me any time anywhere..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…