Mama hataweza kuendeleza punguzo la bei ya mafuta, kupunguza bei ni kazi bure

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
10,198
Reaction score
35,323
Opec jana walitanganza kwamba crisis ya mafuta ya sasa itakua kubwa hata kuliko ya miaka ya 70s kwasbb yasasa driving factors ni nyingi ukilinganisha na miaka ya 70s.

Mama Raisi wetu jana alitanganza kushusha bei za mafuta kwa kuweka ruzuku ya 100bn kama economic intervetion bila kuingilia price mechanism ya mufuta on the world market. Ila hiyo ni kazi bure mama hana uwezo endelevu wa ku-force international price mechanism, hivyo vipesa vyake ni viduchu sana kuendeleza bei zake hapa Tz, Leo leo wingereza yenye uchumi ×50 ya Tz wameshindwa keshusha bei ya mafuta wame jitahidi wameshindwa waka achia internatinal determinants to take its course, sembuse sisi peripheral economies hatuna hata 1economic determinant kwenye uchumi wa dunia, Mama ali chofanya ni quick political popularity, ila soon bei za mafuta zitapanda zaidi ya hapo by December mafuta yanaweza kufika 3500 paka 4000.

Wanao mshauri mama kwenye masuala ya uchumi wana mpotosha kulikua hamna haja ya economic intervetion (kushusha bei) wakati bei imekua hapo iliopo na internatinal economic price determinats.
 
Ni suala la muda tu
Ndyo huyu mziki wa bei ya mafuta ni nkubwa mama hawezi kuucheza, angepambana na mambo madogo yalioko ndani ya uwezo wake, kama nyongeza ya mshahara bei ya sukari nondo nk, lakini sio mafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…