Mama huyu ni tapeli! kuweni makini wenye mipango ya kuwa waigizaji!!!!!

Mama huyu ni tapeli! kuweni makini wenye mipango ya kuwa waigizaji!!!!!

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
habari wana jf,

Jijini Dsm kuna mengi ndugu zangu, mi nimejitokea zangu mwanza, najisemesha nina kipaji kwenye sanaa ya uigizaji!

Nimeishia kuingizwa mjini na huyu mama wa buguruni (ana kundi lake linaitwa masai entertainment and films,, liko rozana!).. kachukua pesa zangu na kuniachia porojo!

Sina hamu mwenzenu,, niko mtaani tu sasa!

Jamani wasanii wachanga kuweni makini na huyu mtu!

Namba zake
>> 0718711061
...0759292621
 
matapeli wamestukia watu wengi sasa hivi wanataka kuwa waigizaji hivyo matapeli wameelekeza nguvu zao kwenye movie so underground kuweni makini msipende kumuamini mtu kirahisi.
 
matapeli wamestukia watu wengi sasa hivi wanataka kuwa waigizaji hivyo matapeli wameelekeza nguvu zao kwenye movie so underground kuweni makini msipende kumuamini mtu kirahisi.

kweli mkuu!!

nimeanza kujisachi sasa!!
 
Back
Top Bottom