Kibakamande
Member
- Feb 19, 2012
- 24
- 0
Rafiki hujanielewa. Ninachosema hapa ni usiri. Hata wewe hapo una siri ambazo hutaki watu wazijue. Privacy ya mtu iheshimiwe. Matokeo ya mtu ni haki kuwa siri yake, natural justice dictates that. It should not be for public consumption. Hatusemi abadilishe matokeo, afiche siri za matokeo ya mitihani ya watoto. Ni mazoea ambayo yanakiuka haki za mwanafunzi. najua tumezoea hivyo tangu ukoloni. It is now time to reverse that trend.
ndio maana hata mikataba kati ya serikali na wawekezaji mnafichwa kwa sababu ya huo usiri unaoutaka! hivi kwa mfano mtoto wa jk angepata div1 ungemuomba Ndalichako atoe matokeo kwa namba ili watu wasiwe wanaona div1 za watu? siku nyingine utasema hata shule ziandikwe kwa namba tu ili kuficha siri za hizo shule! umenikera.....:smash: